Tunahitaji mafundi wa Daraja hilo apo juu kwa ajili ya mteja wetu.
Sekta: Karakana ya utengenezaji magari makubwa na madogo
Mahali Ilipo: Mkuranga
Mshahara: 350000-520000 Gross Salary
MAJUKUMU YA FUNDI MCHUNDO DARAJA II (FITTER MECHANICS)
v Kufanya uchunguzi ili kutambua chanzo cha tatizo na kutoa taarifa kwa ajili ya maamuzi;
v Kufanya matengenezo ya mitambo mbalimbali ya karakana;
v Kuhakikisha mitambo ipo katika hali nzuriwakati wote;
v Kuendesha mitambo;
v Kukagua na kutambua vipuri na vijenzi vilivyoharibika (worn parts) kwa kufuata ratiba ya matengenezo;
v Kusoma na kutafri michoro mbalimbali ya mifumoya mashine;
v Kubadilisha vipuri vilivyoharibika katika mashine na mitambo;
v Kufanya ‘marking –off’ kulingana na michoro;
v Kushirikiana na wafanyakazi wengine katika kutimiza malengo ya karakana;
v Kufanya kazi nyingine kama atakavyoelekezwa na Kiongozi wake.
Sifa za Mwombaji
Elimu ya kidato cha nne na Cheti cha Ufundi Stadi (Trade Test Grade III/CBET I) yenye mwelekeo wa ‘Fitter Mechanics’ kutoka VETA au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali.
1.2.3 MSHAHARA
Kwa kuzingatia ngazi za mishahara ya Mashirika ya Umma PGSS 2
Namna ya Kutuma Maombi:
Kama unaamini una uwezo na vigezo tulivyohainisha hapo juu tafadhali tuma maombi kupitia email hii kabla ya tarehe 30/11/2022 application@expertconsultancy.co.tz
Tafadhali Fahamu ni wale wenye vigezo tuu ndio tutakaowasiliana nao.