Posted inNews
TECNO Phantom X na CAMON 19 Pro Kunyakuwa Tuzo ya Kifahari ya iF DESIGN AWARD 2022
Hongkong, 13 Aprili 2022 - Hivi majuzi, washindi wa Tuzo maarufu duniani ya iF Design wametangazwa. TECNO ilishinda tuzo ya iF DESIGN AWARD 2022 katika kitengo cha Bidhaa na Mawasiliano…