Infinix NOTE 11 SIMU YA KWANZA KUJA NA AMOLED SCREEN YA INCH 6.7.

Infinix NOTE 11 SIMU YA KWANZA KUJA NA AMOLED SCREEN YA INCH 6.7.

Hatimaye Kampuni ya simu za mkononi Infinix huenda imesikia kilio cha wadau wengi wa simu za Infinix duniani kote kwa ujumla. Wapenzi wa simu za Infinix kwa muda mrefu sasa wamekuwa wakihitaji simu zenye kutumia kioo aina ya AMOLED na umbo jembamba.

Kampuni ya Infinix kupitia bidhaa zake inadhihirisha ukubwa wake katika soko la simu, Infinix kwa mara ya kwanza ilitambulisha simu yake ya kwanza kutumia kioo aina ya AMOLED Infinix zero x pro na kwa fununua ziliopo sasa mitandaoni Infinix NOTE 11 kuja na sifa hizi ambazo hazijawai kuonekana kwenye simu za series ya NOTE

Kioo aina ya AMOLED

· chenye kusifika kutokana na ulaji mdogo wa chaji ukilinganisha na vioo vyengine kama IPS.

· Smooth/ kinateleza kwa haraka wakati wa kuperuzi.

· Rangi za picha zinazotokana na simu yenye kioo cha AMOLED hushabihiana na mazingira halisi.

Sifa nyengine ni kuhusu muonekano wa simu hiyo, inasemekana Infinix NOTE 11 kuja kuwa simu ya kwanza yenye umbo jembamba zaidi lililotawaliwa na wigo mpana wa kioo cha inch 6.6fhd kuwahi kuwepo kwenye series ya NOTE.

Hizi ni baadhi ya dondoo ambazo zimeonekana kuzagaa kwenye mitandao mbalimbali ya tech kama Tanzaniatech na nyenginezo. Je unaisi ni feature gani nyengine mpya kuja na Note 11 https://bit.ly/3BHedZw?

Tafadhali kaa karibu na @infinixmobiletz kujua zaidi kuhusu simu hii.

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *