LIVE VISITORS FEED

New Job Opportunity at CPI Vietnam Plastic Company Limited - Export Sales Executive


Export Sales Executive
Position: Export Sales Executive
Employer: CPI Vietnam Plastic Limited Company
BONYEZA LINK HIZI CHINI ILI
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP
Job Overview
We are looking for Native Salesperson in Tanzania. We require the candidates with 1-2 year experience in Plastic Industry (Plastic raw materials).

MODE OF APPLICATION:
Hopefully receive your CV at my email : sales7@cpiplastic.com
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.mwanampotevu.digital

WOMEN IN MANAGEMENT IN AFRICA AWARDS(WIMA)
Habari ya wakati huu naitwa Epifania Mhagama, TGEE project manager at Helptohelp.  Naomba kura yako katika kipengele cha STEM AWARD, kunipigia kura tembelea http://votenasi.wima.co.tz/register.php . 

Jinsi ya kupiga kura
1. Bonyeza link hapo juu
2. Register  kwa kutumia namba ya simu au email
3. Utapewa code/ voters ID (hapo hapo)
4. Ingiza code/voters ID na password yako
5. Nenda category ya STEM AWARD chagua Epifania Mhagama( sio lazima kuvote kwa category zote ili uweze kusubmit)
6.Bonyeza submit 

Kwa nini Epifania:
-Nimefanya miradi zaidi ya 10 ya kujenga ujuzi na uwezo kwa wanawake
-Nimefikia wanawake 2582(vyuoni)
-Zaidi ya 30% wamepata ajira na fursa mbalimbali kutokana na ujuzi wa matumizi ya tekinolojia waliopata kwenye mafunzo 
-Zaidi ya 70% wamebadili mtazamo juu ya matumizi ya tekinolojia kwa wanawake 

Asante kwa kunipigia kura

Post a comment

0 Comments