LIVE VISITORS FEED

BREAKING NEWS: TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA WALIMU WA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI SEPTEMBA 2020 - TAMISEMI- APPLY NOW

07 September 2020

Ofisi ya Rais - TAMISEMI inapenda kuutangazia Umma kuwa Serikali imetoa nafasi za ajira ya Walimu wa Shule za Msingi na Sekondari. Kwa sababu hiyo, Ofisi ya Rais - TAMISEMI inawatangazia walimu wenye sifa kutuma maombi yao kwa njia ya mtandao kupitia kiunganishi cha http://ajira.tamisemi.go.tz.

Kuona tangazo, bofya hapa

Kuomba ajira, bofya hapa

Post a comment

0 Comments